Mkali wa bongo fleva Diamond 
Platnumz ameendelea kupeleka 
mbali muziki wake kwa kufanya 
kolabo za kimataifa.

Safari hii Diamond ameonekan
a kuvuka mipaka akitarajia kuachia 
ngoma mpya aliyoshirikiama na rapa
 wa Marekani Rick Ross.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram 
Meneja wa Diamond, Babu Tale 
ameweka video inayomuonyesha 
msanii huyo akiwa na Rick Ross 
wakirekodi video.

Soma: Diamond aeleza sababu
 za kuachana na Vevo

Tale aliandika, "Kuthubutu ni
 sehemu ya kufanya,dhamira
 yetu ni kuupeleka muziki wa
 bongo fleva mbele, kikubwa
 dua zenu."

Video hiyo inaonekana
 kutengenezwa Miami, Marekani.

Siku chache zilizopita nyota huyo
 alipata tuzo ya mwanamuziki bora
 wa Afrika Mashariki zilizotolewa na
 Afrimma