Faida 48 za Juisi ya Tangawizi
ambazo ulikuwa huzijuwi bad
Huwa inanishangaza sana ninapoutafakari
ukuu wa Mungu kwa namna ambayo
ametupa mimea mbalimbali mhimu kwa
ajili ya afya zetu – Mwanzo 1:29. Maelezo
yafuatayo kuhusu tangawizi yatakupa
wewe ujuzi wa mmea mwingine
wa asili usio na madhara ya
kikemikali na kusaidia
mwili wako kuwa na afya nzuri
na ya kupendeza.Tafiti mpya
zinazidi kuonyesha namna
mmea huu ulivyo wa mhimu kwa
afya ya binadamuikihusisha
uwezo wake wa kudili na aina
mbalimbali za kansa mwilini
na tafiti nyingine zinaendelea kufanyika.
Tangawizi inaweza kuwekwa
karibu kwenye kila chakula,
iwe ni katika kuilainisha nyama
nyekundu, kuongeza radha
katika nyama au samaki,
kama chai, kwenye juisi na
kadharika.Binafsi napenda ikiwa
kwenye juisi ya matunda
ndiyo inakuwa tamu zaidi na
inaenda kufanyakazi mwilini
haraka zaidi.Tangawizi ni
zao la kibiashara na ni
rahisi kutoka kimaisha
kama utaamua kulima tangawiz
i ingawa ni zao la miezi
mingi lakini ukivumilia
utakula bata tu, gunia
moja linauzwa kati ya laki
3 hadi 6 wakati wa msimu mzuri.
Tangawizi iliorodheshwa kwa mara
ya kwanza na serikali ya Marekani kama dawa kwa ajili
ya binadamu kati ya mwaka 1820 na 1873.
Tangawizi huongezwa pia katika
vinywaji vingi vya viwandani
zikiwemo soda ili kupata radha
nzuri zaidi.
Leo nimekuletea hii juisi ya
tangawizi, nimetumia tangawizi
mbichi za ukubwa wa kati nne,
parachichi moja na asali mbichi
vijiko vikubwa saba na na maji lita
moja na nusu. Unaweza
kutengeneza nyingi zaidi na
kuihifadhi katika friji, mhimu
hapo ni tangawizi.
Kunywa glasi 1 (robo lita)
kutwa mara 2 na mtoto miaka
mitatu mpaka 11 hivi kunywa glasi 1
kutwa mara 1.
Kazi 48 za tangawizi mwilini
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana
2. Huua bakteria wa aina nyingi
mwilini hata salmonella ndani ya
mwili hata juu ya ngozi
3. Kuna viua vijasumu (antibiotics)
vya asili viwili kwenye tangawizi
4. Huondoa uvimbe mwilini
5. Huondoa msongamano mapafuni
6. Tangawizi inayo ‘zingibain’
ambayo huua vimelea mbalimbali
vya magonjwa na mayai yake
7. Huondoa maumivu ya koo
8. Huua virusi wa homa
9. Huondoa maumivu mbalimbali
mwilini
10. Huondoa homa hata homa
ya baridi (chills)
11. Hutibu saratani ya tezi
dume. Tangawizi huua kimeng’enya
ambacho ni chakula cha seli
za kansa ya tezi dume kiitwacho
‘5-LO enzymes’ na seli hizo za
kansa hufa ndani ya masaa
mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu
sana ambacho huzuia kuongezeka
kwa seli za kansa ya
kongosho kiitwacho kwa
kitaalamu kama ‘gingerol”
13. Hutibu kansa zinazoweza
kusababishwa na kupata choo
kigumu muda mrefu
(constipation-related cancer)
14. Ni dawa nzuri kwa kansa
ya kwenye damu (leukemia)
15. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa
ya mapafu (lung cancer)
16. Huzuia kujizalisha kwa
bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’,
bakteria huyu ndiye
husababisha vidonda vya
tumbo mwilini, pia hutibu
kiungulia, na kanza mbalimbali za
tumbo
17. Ni msaada sana katika
kuzuia na kutibu kansa ya titi
18. Hutibu kanza za kwenye kizazi
na kanza za kwenye mirija ya uzazi
19. Huongeza msukumo wa damu
20. Husaidia kuzuia shambulio la
moyo
21. Huzuia damu kuganda
22. Hushusha kolesto
23. Husafisha damu
24. Husaidia watu wenye
kukakamaa kwa mishipa
25. Hutibu shinikizo la juu la damu
26. Husafisha utumbo mpana
27. Hupunguza mishtuko
kwenye utumbo mpana na
tumbo kuunguruma
28. Huondoa GESI TUMBONI
KIRAHISI ZAIDI
29. Husaidia mfumo wa
mmeng’enyo wa chakula
30. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
31. Husaidia kuzuia kutapika.
Husaidia hata wale wanaosafiri
baharini wasipatwe na
kichefuchefu
32. Husaidia kuondoa
maumivu kutokana na mkao
mmoja wa mrefu ama kusimama au
kukaa
33. Husaidia uzalishwaji
wa juisi vimeng’enya kwa
ajili ya kumeng’enya chakula
34. Husaidia kuzuia kuharisha
35. Husaidia mfumo wa upumuaji
na kutuliza dalili za pumu
36. Hutibu tatizo la miguu kuwaka
moto
37. Hutibu homa ya kichwa
38. Hutibu maumivu ya tumbo
wakati wa hedhi
39. Hutibu homa za asubuhi hata
kwa mama mjamzito
40. Husaidia kupunguza homa ya
baridi yabisi
(helps reduce inflammation of arthritis)
41. Huimarisha afya ya figo
42. Husaidia kupunguza uchovu
unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi
43. Ina madini ya potassium ya kutosha
44. Ina madini ya manganese
ambayo ni mhimu katika
kuuongeza mfumo wa kinga ya
mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.
45. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’
ambacho chenyewe kazi
yake hasa ni kuongeza afya ya
ngozi, nywele, meno na kucha
46. Husaidia umeng’enywaji
wa madini ya calcium
47. Pia ina vitamini
A, C, E, B-complex, chuma, zinki ,
magnesium, phosphorus, sodium,
calcium, na beta-carotene
48. Hulinda kuta za moyo, hulinda
mishipa ya damu na mishipa ambako
mikojo hupita
ambazo ulikuwa huzijuwi bad
Huwa inanishangaza sana ninapoutafakari
ukuu wa Mungu kwa namna ambayo
ametupa mimea mbalimbali mhimu kwa
ajili ya afya zetu – Mwanzo 1:29. Maelezo
yafuatayo kuhusu tangawizi yatakupa
wewe ujuzi wa mmea mwingine
wa asili usio na madhara ya
Huwa inanishangaza sana ninapoutafakari
ukuu wa Mungu kwa namna ambayo
ametupa mimea mbalimbali mhimu kwa
ajili ya afya zetu – Mwanzo 1:29. Maelezo
yafuatayo kuhusu tangawizi yatakupa
wewe ujuzi wa mmea mwingine
wa asili usio na madhara ya
kikemikali na kusaidia
mwili wako kuwa na afya nzuri
na ya kupendeza.Tafiti mpya
zinazidi kuonyesha namna
mmea huu ulivyo wa mhimu kwa
afya ya binadamuikihusisha
uwezo wake wa kudili na aina
mbalimbali za kansa mwilini
na tafiti nyingine zinaendelea kufanyika.
mwili wako kuwa na afya nzuri
na ya kupendeza.Tafiti mpya
zinazidi kuonyesha namna
mmea huu ulivyo wa mhimu kwa
afya ya binadamuikihusisha
uwezo wake wa kudili na aina
mbalimbali za kansa mwilini
na tafiti nyingine zinaendelea kufanyika.
Tangawizi inaweza kuwekwa
karibu kwenye kila chakula,
iwe ni katika kuilainisha nyama
karibu kwenye kila chakula,
iwe ni katika kuilainisha nyama
nyekundu, kuongeza radha
katika nyama au samaki,
kama chai, kwenye juisi na
kadharika.Binafsi napenda ikiwa
kwenye juisi ya matunda
ndiyo inakuwa tamu zaidi na
inaenda kufanyakazi mwilini
haraka zaidi.Tangawizi ni
zao la kibiashara na ni
rahisi kutoka kimaisha
kama utaamua kulima tangawiz
katika nyama au samaki,
kama chai, kwenye juisi na
kadharika.Binafsi napenda ikiwa
kwenye juisi ya matunda
ndiyo inakuwa tamu zaidi na
inaenda kufanyakazi mwilini
haraka zaidi.Tangawizi ni
zao la kibiashara na ni
rahisi kutoka kimaisha
kama utaamua kulima tangawiz
i ingawa ni zao la miezi
mingi lakini ukivumilia
utakula bata tu, gunia
moja linauzwa kati ya laki
mingi lakini ukivumilia
utakula bata tu, gunia
moja linauzwa kati ya laki
3 hadi 6 wakati wa msimu mzuri.
Tangawizi iliorodheshwa kwa mara
ya kwanza na serikali ya Marekani kama dawa kwa ajili
ya binadamu kati ya mwaka 1820 na 1873.
Tangawizi iliorodheshwa kwa mara
ya kwanza na serikali ya Marekani kama dawa kwa ajili
ya binadamu kati ya mwaka 1820 na 1873.
Tangawizi huongezwa pia katika
vinywaji vingi vya viwandani
zikiwemo soda ili kupata radha
vinywaji vingi vya viwandani
zikiwemo soda ili kupata radha
nzuri zaidi.
Leo nimekuletea hii juisi ya
tangawizi, nimetumia tangawizi
mbichi za ukubwa wa kati nne,
tangawizi, nimetumia tangawizi
mbichi za ukubwa wa kati nne,
parachichi moja na asali mbichi
vijiko vikubwa saba na na maji lita
moja na nusu. Unaweza
vijiko vikubwa saba na na maji lita
moja na nusu. Unaweza
kutengeneza nyingi zaidi na
kuihifadhi katika friji, mhimu
hapo ni tangawizi.
kuihifadhi katika friji, mhimu
hapo ni tangawizi.
Kunywa glasi 1 (robo lita)
kutwa mara 2 na mtoto miaka
mitatu mpaka 11 hivi kunywa glasi 1
kutwa mara 2 na mtoto miaka
mitatu mpaka 11 hivi kunywa glasi 1
kutwa mara 1.
Kazi 48 za tangawizi mwilini
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana
2. Huua bakteria wa aina nyingi
mwilini hata salmonella ndani ya
mwili hata juu ya ngozi
mwilini hata salmonella ndani ya
mwili hata juu ya ngozi
3. Kuna viua vijasumu (antibiotics)
vya asili viwili kwenye tangawizi
vya asili viwili kwenye tangawizi
4. Huondoa uvimbe mwilini
5. Huondoa msongamano mapafuni
6. Tangawizi inayo ‘zingibain’
ambayo huua vimelea mbalimbali
vya magonjwa na mayai yake
ambayo huua vimelea mbalimbali
vya magonjwa na mayai yake
7. Huondoa maumivu ya koo
8. Huua virusi wa homa
9. Huondoa maumivu mbalimbali
mwilini
mwilini
10. Huondoa homa hata homa
ya baridi (chills)
ya baridi (chills)
11. Hutibu saratani ya tezi
dume. Tangawizi huua kimeng’enya
ambacho ni chakula cha seli
dume. Tangawizi huua kimeng’enya
ambacho ni chakula cha seli
za kansa ya tezi dume kiitwacho
‘5-LO enzymes’ na seli hizo za
kansa hufa ndani ya masaa
‘5-LO enzymes’ na seli hizo za
kansa hufa ndani ya masaa
mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu
sana ambacho huzuia kuongezeka
kwa seli za kansa ya
sana ambacho huzuia kuongezeka
kwa seli za kansa ya
kongosho kiitwacho kwa
kitaalamu kama ‘gingerol”
kitaalamu kama ‘gingerol”
13. Hutibu kansa zinazoweza
kusababishwa na kupata choo
kigumu muda mrefu
kusababishwa na kupata choo
kigumu muda mrefu
(constipation-related cancer)
14. Ni dawa nzuri kwa kansa
ya kwenye damu (leukemia)
ya kwenye damu (leukemia)
15. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa
ya mapafu (lung cancer)
ya mapafu (lung cancer)
16. Huzuia kujizalisha kwa
bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’,
bakteria huyu ndiye
bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’,
bakteria huyu ndiye
husababisha vidonda vya
tumbo mwilini, pia hutibu
kiungulia, na kanza mbalimbali za
tumbo mwilini, pia hutibu
kiungulia, na kanza mbalimbali za
tumbo
17. Ni msaada sana katika
kuzuia na kutibu kansa ya titi
18. Hutibu kanza za kwenye kizazi
na kanza za kwenye mirija ya uzazi
kuzuia na kutibu kansa ya titi
18. Hutibu kanza za kwenye kizazi
na kanza za kwenye mirija ya uzazi
19. Huongeza msukumo wa damu
20. Husaidia kuzuia shambulio la
moyo
moyo
21. Huzuia damu kuganda
22. Hushusha kolesto
23. Husafisha damu
24. Husaidia watu wenye
kukakamaa kwa mishipa
kukakamaa kwa mishipa
25. Hutibu shinikizo la juu la damu
26. Husafisha utumbo mpana
27. Hupunguza mishtuko
kwenye utumbo mpana na
tumbo kuunguruma
kwenye utumbo mpana na
tumbo kuunguruma
28. Huondoa GESI TUMBONI
KIRAHISI ZAIDI
KIRAHISI ZAIDI
29. Husaidia mfumo wa
mmeng’enyo wa chakula
mmeng’enyo wa chakula
30. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
31. Husaidia kuzuia kutapika.
Husaidia hata wale wanaosafiri
baharini wasipatwe na
Husaidia hata wale wanaosafiri
baharini wasipatwe na
kichefuchefu
32. Husaidia kuondoa
maumivu kutokana na mkao
mmoja wa mrefu ama kusimama au
kukaa
maumivu kutokana na mkao
mmoja wa mrefu ama kusimama au
kukaa
33. Husaidia uzalishwaji
wa juisi vimeng’enya kwa
ajili ya kumeng’enya chakula
wa juisi vimeng’enya kwa
ajili ya kumeng’enya chakula
34. Husaidia kuzuia kuharisha
35. Husaidia mfumo wa upumuaji
na kutuliza dalili za pumu
na kutuliza dalili za pumu
36. Hutibu tatizo la miguu kuwaka
moto
moto
37. Hutibu homa ya kichwa
38. Hutibu maumivu ya tumbo
wakati wa hedhi
wakati wa hedhi
39. Hutibu homa za asubuhi hata
kwa mama mjamzito
kwa mama mjamzito
40. Husaidia kupunguza homa ya
baridi yabisi
(helps reduce inflammation of arthritis)
baridi yabisi
(helps reduce inflammation of arthritis)
41. Huimarisha afya ya figo
42. Husaidia kupunguza uchovu
unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi
unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi
43. Ina madini ya potassium ya kutosha
44. Ina madini ya manganese
ambayo ni mhimu katika
kuuongeza mfumo wa kinga ya
ambayo ni mhimu katika
kuuongeza mfumo wa kinga ya
mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.
45. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’
ambacho chenyewe kazi
yake hasa ni kuongeza afya ya
ambacho chenyewe kazi
yake hasa ni kuongeza afya ya
ngozi, nywele, meno na kucha
46. Husaidia umeng’enywaji
wa madini ya calcium
wa madini ya calcium
47. Pia ina vitamini
A, C, E, B-complex, chuma, zinki ,
magnesium, phosphorus, sodium,
A, C, E, B-complex, chuma, zinki ,
magnesium, phosphorus, sodium,
calcium, na beta-carotene
48. Hulinda kuta za moyo, hulinda
mishipa ya damu na mishipa ambako
mikojo hupita
mishipa ya damu na mishipa ambako
mikojo hupita


0 Comments