Siku cahache baada ya Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro kutaka mjadala kuhusu kupigwa risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ufungwe mara moja, Leo Oktoba 11, 2017 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kupitia kwa wakili wake John Malya kimemjibu IGP kwa kumwambia kuwa hana mamlaka kikatiba ya kuzuia Wananchi wasijadili lolote

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI