Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Agnes Hokororo amethibitisha kuwekwa maabusu kwa Mwalim ambaye alijihusisha kimapenzi na mwanafunzi huku akitoa onyo kwa walimu wote wenye tabia kama hiyo.