Klabu ya Yanga imewasili salama 
katika Aridhi ya Bukoba tayari kwa
 ajili ya mchezo wake naKagera
Sugarkesho Jumamosi katik
Uwanja wa Kaitaba.Kikosi cha 
Yanga kimewasili bila ya 
nyota Thaban Kamsoko, 
huku Donald Ngoma akitaraji 
kuwepo lakini hayupo kwenye 
mipango ya Kocha Lwandamina 
kuhusu mchezo wa keshi kwa 
sababu bado hajakaa sawa, 
ila atakuwepo kwenye michezo 
inayofata.