Image result for mwanamkeImage result for mwanamke



Katika pita pita zangu wale 
wadada wanajidai wana
 misimamo wanapozalishwa na 
wanaume na kuachwa alone huwa 
wanashuka chini na inakuwa
 rahisi kupiga sound ya kawaida 
na kuchukua mzigo ila kipindi 
kabla ilikuwa hata kusalimia watu
 ni tabu kwake.

Najiuliza kwa nini hulainika na 
kuwa na heshima pindi wanapo
 zalishwa?