Image result for mschana mzuri & mvulanImage result for wanandoa



1. Atakutega kupata attention 
yako. Hufanya mambo ambayo 
yatamfanya kuona kama 
unampenda au lah! Mf wa mambo 
hayo ni kujifanya anaumwa na
 kuangalia respond yako kwake
 ni kiasi gani unamjali na kiasi 
gani utahangaika kwa ajili yake au

2. Haoni aibu kugusa sehemu yako
 ya mwili. Msichana anayependa
 haoni aibu kukushika mkono ama 
kukutomosa au hata kukumbatia. 
Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa 
asilimia kubwa hisia za kushikana 
kwenu kutamrahisishia kazi ya
 kuwa na wewe

3. Kucheka kwa nguvu hata kwa
 kitu kisicho chekesha endapo
 wewe umezungumza. Mara 
nyingi ataonesha uso wa furaha
 hata kama si furaha ya kweli

4. Wivu.
Hujisikia wivu anapokuona 
na wasichana wengine. 
Ukiwa unachart nao na ukiwaita
majina ya kimahaba. Hapendi.

5 anakumbuka siku zako 
muhimu. Hukumbuka kama 
vile siku yako ya kuzaliwa
 hatowez kuisahau kufanya
 ipite bila kukutakia heri ya 
siku ya kuzaliwa kama sivyo 
ukifaulu mtihani au chochote
 katika maisha yako atakuwa
 mbele kukupongeza

6. Eye contact anapenda 
kukuangalia machoni muda 
wote ambao mtakuwa mkizungumza
 pamoja akidhani kuwa utaelewa 
ni kiais gani anakupenda kupitia
 vile ambavyo anakuangalia.
Ila wengine huona aibu kuwatazama 
wavulana wanaowapenda si
 wote wana ujasiri wa kuwatazama 
wapenzi wao.

7. Hupenda kukaa mmuda 
mwingi na wewe. Hawezi kupoteza 
hata sekunde ukimuhitaji kwa 
mazungumzo. Anajisikia furaha 
kukaa na wewe muda mrefu bila
 kuchoka. Anaweza akaacha kila
 kitu anachokifanya ili ajumuike
 na wewe.

8. Yupo tayari kuangamiza.
 Kama msichana anakupenda 
yupo tayari kusacrifice. Ni kitu 
ambacho hakuna mtu ambaye 
anaweza akafanya kwa mtu 
mwingine. Utaona vipi huyo 
msichana alivyo kwako na wa 
wengine. Yaani yupo tayari yeye
akose lakini wewe upate na kwa 
mwingine anaweza akamwamba
 hana alichoombwa lakini akakupa
 wewe kama pesa na vitu vingine.

9. Anachukulia matatizo yako
 kama ni yake. Unapomueleza
 kuwa ana tatizo anajali tatizo
 lako kama vile ni lake na hujisikia
 vibaya sana na kuhuzunika na 
atafanya lolote ili aweze 
kukusaidia utoke katika hilo 
tatizo.

10. Mikwaruzano ikitokea katika
 urafiki wenu hayupo tayari
 kukupoteza kabla hajakuambia 
anakupenda. Kwa kuwa 
anakupenda endapo ikatokea 
mikwaruzano basi atafanya juu 
chini kuyaweka mambo sawa ili 
asikukose