Rais Magufuli Ameanza Ziara ya Siku Tatu Nchini Uganda


Rais wa Jamhuri ya Muungano 
wa Tanzania, Dkt John Pombe 
Magufuli ameanza ziara ya siku 3 
nchini Uganda, kwa mwaliko wa 
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta 
Museveni.