Mke wa Sheikh Suleiman Othman 
mmoja wa wafuasi wa Jumuiya ya
 Uamsho wanaoshikiliwa mahabusu 
Tanzania Bara amejiua kwa kujinyonga.

Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja
imesema
 Rahma Mussa Koki (28) alijiua kwa 
kujinyonga JumapiliKamanda wa Polis
i mkoani humo, Hasina Ramadhan 
\Taufiq 
amesema watu watano wamehojiwa 
wakiwemo 
wazazi wake kuhusu tukio hilo.Amesema 
katika 
mahojiano bado hawajatambua sababu 
za mwanamke huyo kujinyonga.“Katika hatua 
za awali tumesikia alianza kuugua 
maradhi ya
 akili na huenda yakawa chanzo cha
 yeye kuijua,
” amesema Taufiq.Amesema licha ya 
watu ha
 kuhojiwa, hakuna wanayemshikilia.
Kamanda
 Taufiq amesema kazi ya Jeshi hilo ni 
kuhakikisha wanaendelea na upelelezi 
na utakapokamilika watatoa taarifa.
Wakati huohuo, Safia Kombo Sheha, 
mama mzazi wa Rahma amesema kabla 
ya kifo chake alikuwa akisumbuliwa na 
matatizo ya akili na alipatiwa matibabu 
mara kadhaa.“Kabla ya kifo chake kama
 wiki nzima alikuwa akisema nitajinyonga 
nasi tukawa karibu naye kila wakati kwa 
kujua ni
mgonjwa. Jumapili asubuhi tulikuwa pamoja
 ila niliondoka kidogo. Niliporudi nilikuta
mlango
 wa chumbani kwake umefungwa,
tulipouvunja 
tulikuta akiwa amejinyoka kwa kutumia
kamba,” amesema.Safia amesema baada ya 
ndugu na majirani kufika walibaini
 alishafariki. 
Tukio hilo amesema lilitokea saa nne 
asubuhi,
 eneo la Kigunda, Mkoa wa Kaskazini
 Unguja. 
Rahma ameacha watoto watatu, 
wawili
 wakiwa wa kike.